Watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuawa na jeshi la polisi wakati wakijiandaa kufanya uvamizi kwenye machimbo ya madini Darpori Wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma,huku silaha moja ikikamatwa katika tukio hilo