Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally, amesema, kuanzia kesho nafasi za ubunge, uwakilishi na udiwani ziko wazi kwa mwanachama yoyote anaruhusiwa kuanza mchakato wa kugombea nafasi hizo. Uchukuaji na urejeshaji fomu zitaanza Julai 14 hadi 17, 2020.