Chama cha mapinduzi CCM kimepokea kwa huzuni taarifa za vifo vya viongozi wastaafu ndugu Iddi Mohamed Simba na Kanali Kabenga Nsa-Kaisi ambapo wote walihudumu kama viongozi wa ndani ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.