Dr. Cheni ambae ni Muigizaji na MC, aegemea sana upande wa U – Mc nakutoonekana sana kwenye movie.

Cheni amesema kuwa  soko la filamu halijakaa vizuri ndio maana amejikita kwenye U- Mc.

“Soko tu la filamu halijakaa vizuri, likikaa vizuri tunarudi kwenye game, Soko sisi wenyewe tuliriharibu kwasababu tuna rahisisha sana mambo ila tumeshajifunza” Dk. Cheni ameiambia Wasafi Tv.

Kwasasa Dr. Cheni amejikita sana kwenye kuwa MC na kuonekana kulisahau soko la filamu.