Chuo Kikuu cha Shanghai International Studies University kimezindua programu ya kufundisha lugha ya kiswahili. Aidha, chuo hicho kimezindua Centre for East African Studies. Afisa Ubalozi Ndugu Lusekelo Gwassa alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo.