Leo Jijini Dar es salaam, Mbele ya Ahmad Ahmad, Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika CAF, Yanga wataikaribisha Simba Uwanja wa Taifa.

Utamu wa mechi hizi huwa zinabadilisha mwenendo wa Timu aidha Yanga au Simba, Kocha Kufukuzwa, mcheaji kuhongwa, mashabiki kuingia maji, uongozi kuonekana haufai hutokea katika mechi hizi.

Hata hivyo kitakwimu Simba inaonekana bora msimu huu,

Muamuzi wa mwisho dakika 90.