Simba, Yanga leo wanaingia Dimbani katika kumaliza ubishi nani bora katika msimu huu wa soka la Tanzania. Watani hao wa jadi kupitia viongozi wao wametoa mawaidha ya mwisho mwisho kwa vikosi vya timu zao.