Jana Novemba 21 msanii wa muziki kutoka Nigeria, Davido ilikuwa ni Birthday yake ambapo alikuwa anatimiza miaka 26.

Katika kusherehekea siku hiyo, Davido ametoa zawadi ya simu mpya aina ya Infinix Hot 6x kwa mashabiki wake 26.

Giving away the latest infinix HOT 6x to 26 lucky fans to celebrate my 26th Birthday…who wants one???
RT and follow @infinixNigeria to win#OBOinfinixBirthdayGiveaway #infinixandDavidopic.twitter.com/hZO6A2xKJM

— Davido (@iam_Davido) November 21, 2018

Davido ambaye pia ni balozi wa Infinix nchini Nigeria, ameahidi mwaka ujao kufanya muziki wa kimataifa zaidi huku akiwaahidi mashabiki wake kuwa hatawaangusha.

Soma zaidi: Msanii Nay wa Mitego awafungukia waimba bure adai hakuna maisha magumu