Diamond ni mtu mmoja anae penda kununa  lakini kwenye kazi yupo straight munaweza kufanya kazi mukimaliza akazima data (kununa).

Hayo yamesemwa na Videographer  wa Diamond Platnumz, Lukamba wakati akifanya mahojiano na Wasafi Tv.

Anazimaga data kunamda  alikua hataki ata kuzungumza na mie ana muambia boss tale nyie mtakavyo amua tu yaani alinikatia data kisa sikumbuki ilikua nini akawa amenuna lakini Diamondi ni mtu mmoja anae penda kununa nuna basi mimi ikawa nisha mzoea lakini japo akiwa amenuna mimi na mlazimisha tu ivyo ivyo kufanya kazi uzuri kwenye kazi yupo straight munaweza kufanya kazi mukimaliza akazima data (kununa) hivyo ndivyo alivyo.

Video kamili Lukamba akifanya Interview na Wasafi TV