Daimond Platinums ameonyesha kumsapoti msanii mwenzake Harmonize kwa kuposti albamu ya msanii huyo ambao ameizindua siku ya jumamosi albamu aliyoipa jina la Afro East.

Diamond Platinumz ametumia ukurasa wake wa Instagram kuitangaza albamu hiyo.