Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi kimempitisha Dkt Hussein Mwinyi kuwa mgombea wa nafasi ya urais wa Zanzibar baada ya kupata kura 129 sawa na asilimia 78 ya kura zote zilizopigwa.