Msanii wa Singeli kutoka Tanzania dullamakabila ameeleza sababu ya kupaka makeup na kuonekana kama mwanamke pamoja na kuvaa wigi na kupaka rangi kwenye vidole.

Dullamakabila amesema kuwa ile ilikuwa ni clip ya ngoma yake mpya ambayo alitaka kufanya kitu cha pakee ndio akaamua kupaka makeup na kuvaa wigi kama mwanamke.