Mkongwe wa muziki wa Bongofleva Dully Sykes amepata Mtoto wa kiume mwengine wa kiume ambapo atakua Mtoto wake wa sita.

Dully ameamua kumpa Mtoto huyo jina la Marehemu Baba yake Mzee Sykes na jina la a.k.a alilompa ni Maradona ili kumuenzi pia Legend wa Soka wa Argentina aliyefariki juzi.