Katika hali ya kushangaza jijini Dar-es-salaam gari la maji taka lamwaga uchafu unaodhaniwa kuwa ni kinyesi katika maeneo ya makutano ya barabara maarufu kama Ubungo Mataa.

Kwa mujibu wa chanza kisichokuwa rasmi inadaiwa kuwa kuna vijana wasiofahamika walifungua koki ya gari hilo na kusababisha kadhia hiyo.