Abiria kadhaa wanusurika kufa baada ya gari waliopanda kuzama kwenye mto wa Sakafuni  BUBUBU wilaya ya Magharib A Unguja.