Baadhi ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza Katibu wa Mufti Zanzibar Shekh Khalid Ali Mfaume (hayupo pichani) kuhusu kuchukuwa tahadhari kwa maradhi ya kupua yenye kuambukiza Ofisini kwake Mazizini Zanzibar.
 Katibu wa Mufti Zanzibar Shekh Khalid Ali Mfaume akizungumza na Waandishi wa habari juu ya kuchukua tahadhari  kwa Maradhi ya kupua yenye kuambukiza na kuwataka Maimamu wa Misikiti kusoma dua ya Kunuti kumuomba Mungu kuondosha maradhi hayo hafla iliyofanyika Ofisini kwake Mazizini Mjini Zanzibar.

Picha na Maryam Kidiko – Maelezo Zanzibar.