Habari Picha: Mdahalo juu ya ushirikishwaji wa vijana katika siasa Zanzibar

 

Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Wanawake Zanzibar(ZAFELA)Bi Safia Hijja Abrass akitoa hotuba ya makaribisho katika Mdahalo ulioandaliwa na chama hicho juu ya Ushirikishwaji wa Vijana katika siasa na ngazi za maamuzi uliofanyika ukumbi wa Sanaa Rahaleo mjini Unguja.

 

Baadhi ya masheha na Vijana waliohudhuria  katika Mdahalo ulioandaliwa na chama  cha Wanasheria Wanawake Zanzibar(ZAFELA)juu ya Ushirikishwaji wa Vijana katika siasa na ngazi za maamuzi uliofanyika ukumbi wa Sanaa Rahaleo mjini Unguja.
Mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi(Gavu)akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mdahalo ulioandaliwa na chama  cha Wanasheria Wanawake Zanzibar(ZAFELA)juu ya Ushirikishwaji wa Vijana katika siasa na ngazi za maamuzi uliofanyika ukumbi wa Sanaa Rahaleo mjini Unguja.

 

Mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi(Gavu)akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mdahalo ulioandaliwa na chama  cha Wanasheria Wanawake Zanzibar(ZAFELA)juu ya Ushirikishwaji wa Vijana katika siasa na ngazi za maamuzi uliofanyika ukumbi wa Sanaa Rahaleo mjini Unguja.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi(Gavu)akizungumza na Waandishi wa Hbari mara baada ya kufungua Mdahalo ulioandaliwa na chama  cha Wanasheria Wanawake Zanzibar(ZAFELA)juu ya Ushirikishwaji wa Vijana katika siasa na ngazi za maamuzi uliofanyika ukumbi wa Sanaa Rahaleo mjini Unguja. 
Picha na Yussuf Simai / Maelezo Zanzibar.