Mkuu wa wilaya ya mkoani Hemd Suleimani Abdallah akizinduwa uvunaji wa kilimo cha vitunguu maji mjimbini katika shamba la majaribio kwa kaya masikini zinazo nufaika na mradi wa tasaf.

 

Baadhi ya wananchi wanufaika wa kaya masikini wakiwa katika uvunaji wa kilimo cha vitungu maji mjibini wilaya ya mkoani mkoa wa kusini pemba