Zanzibar kuanza tena kutoa matone ya vitamin A na dawa za minyoo kwa watoto chini ya miaka mitano.

Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Fadhil Mohammed Abdallah akizungumza na wandishi wa habari kuhusu zoezi la utoaji wa matone ya Vitameni  A, Dawa za minyoo na upimaji wa hali ya lishe kwa watoto wenye umri wa miezi sita hadi miaka mitano kuanzia tarehe 1 hadi 31 mwezi kesho.

 

Mwandishi wa habari wa Star TV Abdalla Pandu akiuliza swali katika mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazimmoja, Mjini Zanzibar.

 

Afisa wa Lishe Wizara ya Afya Zanzibar Bi. Asha Hassan akijibu maswali yaliyoulizwa na wandishi wa habari katika mkutano wa kutoa tarifa ya utoaji matone ya Vitamini A Dawa za minyoo na upimaji hali ya lishe uliofanyika Wizara ya Afya Mjini Zanzibar.

Na:Picha na Makame Mshenga.