Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. JohnMagufuli akiweka udongo kwenye kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa katika Mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Lupaso Masasi Mkoani Mtwara.
 Rais Dk. John Magufuli pamoja na Marais Wastaafu, Ali Hassan Mwinyi na Dk. Jakaya Kikwete wakiweka mashada katika kaburi la Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa aliyezikwa leo Lupaso mkoani Mtwara.