Harmonize atiwachaka na promota Kenya

Msanii wa muziki nchini Tanzania anaefanya kazi zake chini ya WCB, Harmonize ameshindwa kupanda jukwaani kutumbuiza mjini Eldoret nchini Kenya baada ya Promota aliyempeleka kushindwa kumalizia mkwanja wake kama walivyopatana.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Harmonize ameeleza kuwa Promota huyo alipotea katika dakika za mwisho.

 

..!!! BINAFSI NAJUA KIASI GANI PESA INATAFUTWA KWA UGUMU BUT KWA MAPENZI YENU MLIJITOA KUJA KUNI SUPPORT SIO KWASABABU MIE NI SPECIAL SANA….!!! NI KWA UPENDO WENU TUU ILA KILICHONISIKITISHA NI PROMOTERS KUCHUKUA PESA ZA WATU WASIO PUNGUA 4000K THEN WAKASHINDWA KUJA KUMALIZIA PAYMENT ILIYOBAKI NA KUKIMBIA HII INAUMIZA SANA…!! (1) NI DALILI YA KUNIVUNJIA HESHIMA NA UAMINIFU KWA MASHABIKI ZANGU (2) IMENIUMIZA KUONA WATU WALIOJITOA KULIPA VIINGILIO VYAO JUST FOR ME WANADHULUMIWA MWISHO KABISA…!!! NISEME SAMAHANI #ELDORET 🙏🙏 NEXT TIME NITAHAKIKISHA TUMELIPWA DOO YOTE KABLA NI COME TRUST ME I’M SO….!!! DISAPPOINTED AND I LOVE YOU ❤ AND I WAS EXTRA READY 👹👹 I DID#SOUNDCHECK AND EVERYTHING THIS IS TO BAD ….!!!! 👹

 

View this post on Instagram

..!!! BINAFSI NAJUA KIASI GANI PESA INATAFUTWA KWA UGUMU BUT KWA MAPENZI YENU MLIJITOA KUJA KUNI SUPPORT SIO KWASABABU MIE NI SPECIAL SANA….!!! NI KWA UPENDO WENU TUU ILA KILICHONISIKITISHA NI PROMOTERS KUCHUKUA PESA ZA WATU WASIO PUNGUA 4000K THEN WAKASHINDWA KUJA KUMALIZIA PAYMENT ILIYOBAKI NA KUKIMBIA HII INAUMIZA SANA…!! (1) NI DALILI YA KUNIVUNJIA HESHIMA NA UAMINIFU KWA MASHABIKI ZANGU (2) IMENIUMIZA KUONA WATU WALIOJITOA KULIPA VIINGILIO VYAO JUST FOR ME WANADHULUMIWA MWISHO KABISA…!!! NISEME SAMAHANI #ELDORET 🙏🙏 NEXT TIME NITAHAKIKISHA TUMELIPWA DOO YOTE KABLA NI COME TRUST ME I'M SO….!!! DISAPPOINTED AND I LOVE YOU ❤ AND I WAS EXTRA READY 👹👹 I DID #SOUNDCHECK AND EVERYTHING THIS IS TO BAD ….!!!! 👹

A post shared by KONDEBOY (@harmonize_tz) on