Waziri wa Utalii na maliasili nchini Tanzania Dkt. Hamis Kigwangala mesema ukaguzi wa anga la Mlima Kilimanjaro mapema leo umeonesha kuwa moto umedhibitiwa.

Hayo ameyasema kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Instagram.