Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM imepitisha majina matatu ya wagombea Urais wa Zanzibar ambayo yatapigiwa kura na Halmashauri hiyo ili kupata jina moja ambalo litapeperusha bendera ya CCM katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2020 ambao ni:

1. Dk Khalid Salim Mohamed
2. Dkt Hussein Ali Mwinyi
3. Shamsi Vuai Nahodha