Helikopta  moja ya mizigo yaanguka huko nchini Urusi katika eneo la Yamal Nenets. Watu 2 miongoni mwa watu 10 waliokuwamo katika helikopta hiyo wafariki dunia.

Wizara ya mambo ya dharura nchini Urusi imetoa taarifa kwamba helikopta hio aina MI-8 imemeguka vipande vipande. Miongoni mwa watu 10 walikuwamo kwenye helikopta hiyo  watu 2 wamefariki dunia.

Uchunguzi zaidi juu ya sababu zilizopelekea kuanguka kwa helikopta hiyo mali ya shirika la ndege linalofahamika kama Skol Airline, unaendelea.