Ndege ndogo aina ya helikopta yakwama ndani ya matope baada ya mafuriko yaliyosababishwa na kimbunga kugubika uwanja wa ndege mkoa wa Heilongjiang nchini China.