July 11, 2019 baraza la mitihani Tanzania limetangaza rasmi matokeo ya kidatu cha sita na kusema kuwa matokeo hayo yapo vizuri kulingana na mwaka 2018 licha ya kuwa matokeo yapo vizuri lakini kunabaadhi ya watahiniwa limewafutia matokeo hayo.

Baraza la Mtihani la Tanzania limewfuta matokeo yote ya watahiniwa nane (14) waliobainika kufanya udanganyifu katika mitihani. Kati ya watahiniwa hawa, nne (09) ni watahiniwa wa skuli na wanne (05) ni watahiniwa wa kujitegemea.

Kwa upande wa skuli za Zanzibar hakuna mwanafunzi aliyefutiwa matokeo.