Leo Febuary 11,2019 kijana anaekadiriwa kua na umri wa miaka 32 – 33 amejiru baharini wakati alipokua kwenye boti ya kilimanjaro VI ilio kuaikitoka Dar Es Salam kuelekea Zanzibar.