Lucas mkaazi wa mpapa wilaya ya kati mkoa wa kaskazini unguja zanzibar amemchinja mkewe ambae ni Eliza Juma John na baadae kufungia chumba kwa nje na kukimbia kusikojulikana.