Hivi ndivyo Raza alivyougeuza uwanja wa mtaani kuwa wa kisasa + Video

Shiling Milioni 20 zimetumika kueka taa katika uwanja wa mpira wa skuli ya biashara kwamchina wilaya Magharib B Unguja.

Hayo yameelezwa na Mbunge wa Jimbo la Kiembe Samaki Mhe. Ibrahim Raza ambaye amesema zoezi hilo limekamilika kwa ushirikiano baina yake na mwakilishi wa Jimbo hilo Mhe Mahmoud thabit Kombo kwa lengo la kuinua vipaji vya vijana wa eneo hilo ili kuwaondoa na ugumu wa ajira

Angalia video ya kiwanja hicho kilivyoboreshwa kwa taa za kisasa: