Msanii aliyewahi kushinda shindano la ‘Big Brother Africa’ amefikishwa Mahakamani akidaiwa kurusha maudhui mtandaoni bila leseni ya Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA)

Idris ambaye alishawahi kuhojiwa Polisi baada ya kuhariri picha yake na Rais Magufuli amefikishwa Mahakamani hapo na wenzake wawili