IGP Sirro afanya mabadiliko ya Makamanda, Hassan Nassir aangukia wapi safari hii?

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amefanya mabadiliko ya baadhi ya Makamanda wa Polisi nchini.
Soma taarifa kamili:

Katika mabadiliko hayo Makamanda wengine wa mikoa yote ambao hawajatajwa akiwemo Kamanda wa polisi mkoa wa Kusini Pemba, Kamishna msaidizi Mwandamizi wa polisi (SACP) Hassan Nassir  wataendelea kuhudumu katika mikoa yao kama kawaida.