Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu imekanusha taarifa za uteuzi zinazosambaa mitaondaoni ikiwa na majina ya wafuasi wa Chadema

Taarifa iliyotolewa asubuhi hii na Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu  Gerson Msigwa imesema kwamba Rais Magufuli hajafanya uteuzi.

Taarifa hii ni ya uongo imetengenezwa na wahalifu ipuuzeni Mhe. Rais Magufuli hajafanya uteuzi huu” –  Msigwa