Je Rayvanny ataitekeleza ahidi yake aliyoitoa BASATA?

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka WCB Rayvanny amefunguka kutokana na Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) kuwapa ruhusa yeye na boss wake Diamond Platnumz kufanya matamasha nje ya nchini baada ya kufungiwa kufanya matamsha hayo kwa muda kutokana na kukiuka baadhi ya masharti.


Rayvanny kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika haya: