Simba , Wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Klabu bingwa Afrika inashuka dimbani kupambana na JS Souira nchini Algeria, Watanzania wanajiuliza kitu kimoja Je Simba itavunja mwiko leo?

Watanzania wana kumbukumbu mbaya Simba ikichea ugenini katika siku za hivi karibuni , imepoteza mechi mbili kwa kufungwa goli tano tano kila mechi.

Zanzibar24 Tunaitakia Simba kila la kheri.