Timu ya Jku leo itaanza vita vyake na Kvz katika uwanja wa Mao A Saa 10:00 .

Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwavile timu zote ni za vikosi na huwa zinapokutana kila mmoja anataka kumtambia mwenzake kama yeye ni zaidi ya mwenzake .

Jku kwasasa ipo nafasi ya nne ikiwa na alama zake 46 mchezo wake wamwisho walicheza na Mlandege na walikubali kichapo cha goli moja kwa sifuri.

Nao kvz ipo nafasi ya 7 ikiwa na alama zake 34 katika msimamo huo wa ligi kuu Zanzibar.

Kinara wa kucheka na nyavu anatokea Jku na Zimamoto wakiwa na magoli 13 

Story by www.dimbani.co.tz