Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli leo Septemba 29 amefanya uteuzi ambapo amemteuwa Dk.Ebate Mjingo kuwa Mkurugenzi mkuu wa Tasisi ya wanyama pori ( TAWIRI ).

Kabla ya uteuzi huo nasfi hio iliongozwa na Dk. Simon Mduma ambae amestaafu na uteuzi huo unaanza kufanya kazi leo Septrmba 29, 2020.