Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR. John Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichoketi leo tarehe 9 Julai 2020 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Hall Jijini Dodoma.