Rais Dkt. John Pombe Magufuli, amesema Ugonjwa wa Corona hautaizuia Tanzania kufanya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.

Rais Magufuli amesema uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa, kwa kuwa hakuna Mtu anayependa kukaa Ofisini muda mrefu.