Jumapili ya Febuari 10, 2018 Jumui ya ufugaji nyuki Zanzibar ZABA imekutana katika makao makuu yake yaliypo kitogani nakufanya uchaguzi wa kuchagua viongozi wake mbali mbali.