Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars Emanuel Amunike ametangaza kikosi kitakachoanza leo dhidi ya Simba wa Teranga Senegal muda mchache ujao.

Kikosi hicho ambacho kitatumia mfumo 4-2-3-1 kitakuwa kama ifuatavyo:

Golikipa : Aishi Manula

Walinzi: David Mwantika, Kelvin Yondani, Ramadhan Kessy, Gadiel Michael

Viungo: Feisal Salum, Mudathir Yahya, Himid Mao, Simon Msuva, John Bocco

Mshambuliaji: Mbwana Samatta