Mto uliolipuka kwenye kiwanda kimoja kilichopo Mashariki mwa nchi ya China katika Jimbo la Ninghai umesababisha vifo vya watu 19.

Katika ajali hiyo ya moto watu 8 wameokolewa wakiwa hai lakini watatu kati yao ndiyo wamekimbizwa katika Hospitali kwa ajili ya matibabu na uangalizi zaidi.

Serikali imezitaka mamlaka zake kuhakikisha majanga ya moto katika viwanda yanapungua nchini humo.