Waziri wa Madini, Dotto Biteko leo Jumatatu Julai 03, anatarajiwa kupokea madini ya Tanzanite yenye uzito wa kilo 6.33 kutoka kwa mchimbaji mdogo, Saniniu Laizer. Julai mwaka huu Laizer aliikabidhi serikali mawe mawili yenye thamani ya Sh. bilioni 7.8.