Ligi kuu Bara kurindima kesho, Hii hapa Ratiba ya Wikiendi hii

LIGI Kuu ya soka ya Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea kesho baada ya mapumziko ya wiki mbili kupisha mechi za kimataifa.

MECHI ZA KESHO

Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara Ndanda FC VS Mbeya City ya Mbeya,

Uwanja wa Mwadui Complex Shinyanga, Mwadui FC VS Ruvu Shooting ya Pwani

Azam VS  African Lyon Saa Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

MECHI ZA JUMAMOSI

Tanzania Prisons VS  Singida United ya Singida Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya,

Coastal Union VS JKT Tanzania ya Dar Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga

Uwanja wa Taifa VS Yanga SC VS Alliance FC ya Mwanza.

MECHI ZA JUMAPILI

Simba SC VS Stand United Uwanja wa Taifa

Lipuli FC VS  Kagera Sugar ya Bukoba