Msimu mpya wa mwaka 2020-2021 wa ya Ligi Kuu ya Zanzibar unatarajiwa kuanza 2`Leo Ijumaa November 20,2020 ambapo itaanza kwa kuchezwa michezo miwili pekee katika viwanja viwili tofauti Amani na Mau.

kikosi cha KVZ

Katika uwanja wa Amaan 10:00 Alasiri utachezwa mchezo mkali kati ya kikosi cha JKU na KIPANGA, na katika uwanja wa MAU A 10:00 Alasiri KVZ wataikaribisha Black sailor.