STAA wa Filamu Bongo, Elizabetha Michael ‘Lulu’ amepanga kugawa nguo zake ingawa bado hajaeleza sababu ya kufanya ni hivyo.

Mrembo huyo kutoka kiwanda cha filamu ametumia mtandao wa Snapchart kutangaza kusafisha kabati lake la nguo.