Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amesema barua waliyotumiwa kutoka serikalini wameipokea na wanaifanyia kazi.

“Tumepokea barua kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar [kuhusu jina la Makamu wa Kwanza wa Rais] na tunaifanyia kazi. Pia tunashauriana kuhusu waliopewa ubunge, uwakilishi na udiwani kama waende kula kiapo au la.”