Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, mabehewa mawili ya treni ya mizigo ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) yaliyokuwa yamebeba kijiko yameanguka katika eneo la Mazimbu mkoani Morogoro, wakati likitoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma leo Ijumaa, Novemba 9, 2018.

Aidha, Hakuna majeruhi wala kifo vilivyoripotiwa kutokana na ajali hiyo. Endelea kufuatia taarifa zetu.