Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar ZFF imesema kuwa imeamua kuipa alama tatu na magoli mawili timu ya Machomane United baada ya kushinda lalamiko lao dhidi ya klabu ya JKU.

“Kufuatia kamati ya kusikiliza malalamiko ngazi ya awali ndani ya ZFF kuipatia alama tatu na magoli mawili timu ya Machomane United baada ya kushinda lalamiko lao dhidi ya klabu ya JKU”,

Msimamo wa ligi kuu ya soka Zanzibar kwa sasa unasomeka hivi.