Jeshi la Congo limewaokoa madereva 8 wa Kitanzania waliokuwa wametekwa na waasi wa kikundi cha MaiMai waliotaka hela ili wawaachie.

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Congo amethibitisha kuokolewa kwa madereva hao