Superstar wa instagram Mange kimambi ameamua kumcha mwanamuziki wa bongo fleva alikiba kwa kumwambi anawapa aibu mashabiki wake.

Mapema leo june 25 mange kupiti akaunti yake ya instagram amepost kipande cha video kinacho muonesha akicheza wimbo mpya wa Diamondi kanyaga  huku akimbatanisha na vimondo vya maneno makali kumuelekea alikiba.